
Putin akutana na viongozi mbalimbali – DW – 23.10.2024
Mshauri wa mambo ya nje wa Kremlin Yuri Ushakov ameutaja mkutano huo kuwa tukio kubwa zaidi la kidiplomasia kuwahi kuandaliwa na Urusi. Nchi 36 zimehudhuria mkutano huo wa BRICS, huku zaidi ya wakuu wa nchi wapatao 20 wakiwasili katika mji wa Kazan. Baada ya chakula cha jioni, rais Putin alikutana kwa mazungumzo na rais wa…