
Trump amjibu Biden kwa gari la taka
Mnamo Jumatano, Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, aliibua hisia za watu alipoonekana akiingia kwenye gari la taka lilioandikwa jina lake katika mkutano wa kampeni wa chama chake huko Green Bay, Wisconsin. Trump, aliyekuwa amevaa vest ya usalama yenye rangi ya machungwa na njano, alitumia tukio hilo kujibu matamshi ya Rais Joe Biden aliyosema…