
Modi amuambia Putin akaye kitako na Zelensky – DW – 22.10.2024
Kufikia mchana wa Jumanne (Oktoba 22), tayari Rais Putin alishamkaribisha na kufanya mazungumzo ya pande mbili na Waziri Mkuu Narendra Modi wa India na Rais Cyrill Ramaphosa wa Afrika Kusini. Akizungumza kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habari, Rais Putin amesema uhusiano baina ya India na Urusi unazidi kuimarika kila uchao na kwamba kwa…