
Kasekenya azindua Baraza la Wafanyakazi CRB, atoa maagizo
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amezindua Baraza la Wafanyakazi la Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), huku akilitaka kuleta uwazi na kuondoa manung’uniko mahali pa kazi. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi leo Oktoba 22,2024 jijini Dar es Salaam, Mhandisi Kasekenya amesema mahali popote ambapo Baraza la Wafanyakazi likifanya…