
Kafulila: Kampuni ya COVEC ya China kumaliza kero ya foleni Dar
SERIKALI inafanya mazungumzo na kampuni ya China Overseas Engineering Group Co. Ltd. (COVEC) ambayo imeonesha nia kuwekeza Dola za Marekani bilioni 1 (zaidi ya Shilingi trilioni 2.7) kujenga barabara zenye lengo la kupunguza kero ya foleni jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kampuni hiyo ya COVEC inataka kutekeleza…