
BREAKING NEWS.. WANAKWAYA WATANO WAFARIKI DUNIA WAKIENDA KUMZIKA MWENZAO..
NA WILLIUM PAUL, SAME. WATU watano wamefariki Dunia na wengine hishirini kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kuingia kwenye daraja. Kwa mujibu wa Mkuu wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni alisema usiku wa kuamkia leo majira ya saa tisa usiku gari aina ya Costa iliyokuwa imebeba Wanakwaya wakitokea jijini Dar…