BILIONI 13.5 KUJENGA JENGO LA TAALUMA TIA SINGIDA

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima O. Dengego ameipongeza TIA kwa andiko zuri lililoipelekea Serikali ya awamu ya sita kupitia mradi wa HEET kuipatia Bilioni 13.5 kujenga jengo la kisasa la Taaluma Kampasi ya Singida, “Mkoa wa Singida unaenda kuwa jiji, hivyo ni lazima na taasisi zetu ziwe na muonekano wa jiji, ujenzi wa…

Read More

MSAJILI WA HAZINA MCHECHU AIPONGEZA NELSONA MANDELA KWA TAFITI NA BUNIFU ZINAZOTATUA CHANGAMOTO 

  Msajili wa Hazina Bw. Nehemiah Mchechu (Kulia) akipata maelezo kutoka kwa mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) Henry Kahimba (Kushoto) alipotembelea Maabara ya Taasisi hiyo. Na Mwandishi Wetu   Msajili wa Hazina Bw. Nehemiah Mchechu aipongezi Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kwa kufanya vizuri katika tafiti na bunifu mbalimbali…

Read More

Mustakabali wa Usalama wa Chakula Upo Zaidi ya Majedwali ya Majadiliano ya COP29 – Masuala ya Ulimwenguni.

Yesu Quintana Maoni na Yesu Quintana (asuncion, paraguay) Jumatatu, Oktoba 21, 2024 Inter Press Service ASUNCION, Paraguay, Oktoba 21 (IPS) – Mabadiliko ya hali ya hewa yameingiza mifumo yetu ya chakula katika machafuko. Matukio ya hali ya hewa kali na tofauti kubwa za hali ya hewa zinaboresha uzalishaji wa chakula na usambazaji wa chakula kote…

Read More

DKT BITEKO AKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA NISHATI

*Ataja Mikakati ya Serikali Kuimarisha Sekta ya Nishati, Tanzania Inavyojiandaa Kuuza Umeme nchi Jirani na Uwepo wa Soko la Uhakika Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Singapore Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali inawakaribisha wawekezaji katika sekta ya nishati ili kuongeza kasi ya usambazaji,…

Read More