BIDHAA ZA BETTY WORLD NI BORA KWA NGOZI – DK. FOI

Daktari Bingwa wa ngozi kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dk. Andrew Foi akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi wa bidhaa za ngozi zilizotengenezwa na Kampuni ya Betty World. Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya kutengeneza Mafuta ya Ngozi ya Betty Word, Meshack Lutembeka na Mkurugenzi mwenza Bw. Jesse Madauda (wa kwanza kushoto). Na Mwandishi…

Read More

RC BATILDA AWATAKA WANANCHI KUTUMIA HAKI YAO YA MSINGI KUSHIRIKI KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NOVEMBA 27,2024

Na Oscar Assenga, LUSHOTO. MKUU wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian amewahimiza wananchi katika maeneo mbalimbali mkoani humo kuhakikisha wanatimiza haki yao ya msingi kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu. Aliyasema hayo wakati akihimitisha zoezi la kuwahamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura katika wilaya za Mkinga,…

Read More

SACCOS TUMIENI MIFUMO YA KIDIGITALI – NAIBU WAZIRI SILINDE

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo(SACCOS) kuendelea kutumia mifumo ya Kidigitali mbalimbali iliyopo sokoni inayoendana na uwezo wa Kifedha wa SACCOS ikiwemo mfumo ulioandaliwa na unaondeshwa na Muungano wa SACCOS nchini (SCCULT). Ameeleza Mhe Silinde Mfumo huu umeandaliwa kwa mazingira ambayo ni rafiki na…

Read More

🥊 ZULFA MACHO NA SAIDI KANENDA KUPANDA ULINGONI LEO ROBO FAINALI UBINGWA WA AFRIKA AFBC

▫️Zulfa dhidi ya Bisambu Merveille mwenyeji wa DR Congo ▫️Kanenda dhidi ya Amroug El Abidine kutoka Morocco    21-10-2024, Kinshasa – DR Congo: Mabondia wa Kikosi cha Timu ya Taifa ya Ngumi “Faru Weusi” Zulfa Macho na Saidi Hamisi Kanenda wanatarijiwa kupanda ulingoni leo katika mashindano ya AFBC Ubingwa wa Afrika – Kinshasa 2024 nchini Jamhuri…

Read More

Athari Zilizofichwa za Mafuriko kwenye Kilimo na Afya ya Udongo – Masuala ya Ulimwenguni

Hatimaye, maji ya mafuriko yanapungua, na kuacha njia ya uharibifu na makazi tofauti kimsingi kwa viumbe visivyo vya binadamu ikiwa ni pamoja na mimea na viumbe vidogo na microorganisms zinazoishi kwenye udongo. Mkopo: Shutterstock. Maoni by Esther Ngumbi (urbana, illinois, sisi) Jumatatu, Oktoba 21, 2024 Inter Press Service Mara chache sana zinazoingia kwenye vichwa vya…

Read More

Wasiwasi waibuka M-23 wakidhibiti mji muhimu Kivu

  WAPIGANAJI wa kundi la M-23, wameuteka mji muhimu wa Kalembe wilayani Masisi na kusonga mbele hadi wilaya ya Walikale mkoani Kivu Kaskazini. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa, Kivu, DR Congo … (endelea). M-23 waliuteka mji huo jana Jumapili, tukio linalowapa nafasi kubwa waasi hao kuviteka vijiji vyenye utajiri mkubwa wa madini wilayani Walikale. Mji huo…

Read More

Mabingwa sekta ya afya watengewa Sh. 14 bilioni

  WATAALAM 544 wa kada ya afya, katika nyanja ya sita ikiwamo ya watoto wachanga, afya ya akili, magonjwa yasiyoambukiza kama ya moyo na matibabu ya ubongo na mishipa ya fahamu, wametengewa Sh. 14 bilioni kujiendeleza kielimu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Aidha, nyanja nyingine ni ugunduzi wa magonjwa ikiwamo patholojia, huduma za utengamao…

Read More