Sloti ya Titan Roulette kasino ya mtandaoni Meridianbet

  Sloti ya Titan Roulette​ haijawahi kuwa ngumu kushinda kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, ni rahisi sana kama utatuliza kichwa na kuusoma mchezo, na leo kitu kingine kimeingia kwa mabingwa ni Sloti ya Titan Roulette yenye miondoko ya kale na maudhui yake ni Ulaya. Sloti hii ya Roulette ni mchezo unaopendewa na unajulikana sana ulimwenguni….

Read More

Vita vya Mashariki ya Kati vimekuwa na gharama kubwa – DW – 21.10.2024

Matumizi ya jeshi yameongezeka mara dufu, ukuaji wa uchumi umekwama hasa katika maeneo hatari ya mpakani ambako wakaazi wake walihamishwa. Wachumi wanasema huenda Israel ikakabiliwa na kudorora kwa uwekezaji pamoja wakati vita  ikiharibu bajeti na kuilazimisha kufanya maamuzi magumu kati ya masuala ya kijamii na jeshi. Soma: Viongozi wa Umoja wa Ulaya na Ghuba wakutana katikati…

Read More

MHE. PINDA AFUNGA MAFUNZO MAALUM KWA WAANGALIZI WA UCHAGUZI WA SADC

Mkuu wa Misheni ya Uangalizi ya Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (𝗦𝗔𝗗𝗖- SEOM) Mhe. Mizengo Pinda amefunga mafunzo maalum yaliyoendeshwa na Secretariet ya SADC kwa waangalizi wa misheni hiyo wanaotoka katika nchi wanachama wa SADC. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo Mhe. Pinda amewasihi waangalizi hao kuhakikisha wanazingatia misingi na miongozo yote…

Read More

DKT. BITEKO AKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA NISHATI

Ataja Mikakati ya Serikali Kuimarisha Sekta ya Nishati Aeleza Namna Tanzania Inavyojiandaa Kuuza Umeme nchi Jirani na Uwepo wa Soko la Uhakika Asema Ushiriki wa Sekta Binafsi ni Muhimu kwa Maendeleo ya Nchi Ashiriki Wiki ya Kimataifa ya Nishati Singapore, Ashukuru kwa Mwaliko na Kuelezea Mafanikio ya Sekta ya Nishati Tanzania Na Ofisi ya Naibu…

Read More