PIGA PESA NA MECHI YA JUMATATU YA LEO

SIKU nyingine ya kutusua mkwanja na wakali wa ubashiri Meridianbet ni leo. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi siku ya leo. Leo hii pale EPL kutakuwa na mechi moja kali sana kati ya mwenyeji Nottingham Forest VS Crystal Palace huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 7 pekee. Palace yupo…

Read More

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MIAKA 30 YA ESRF

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitazama matokeo ya tafiti mbalimbali yaliyotolewa na Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) wakati alipowasili katika Ukumbi wa Johari Rotana Jijini Dar es Salaam kwaajili ya Ufunguzi wa Mkutano wa Kusherehekea Miaka 30 ya Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na…

Read More

Tanzania yakamilisha zoezi la kuandikisha wapiga kura – DW – 21.10.2024

Uandikishaji huo ulianza Oktoba 11 na kumalizika Oktoba 20 umeshuhudia zaidi ya wananchi milioni 26 kote nchini wakijitokeza na kujiandikishawakiashiria kuwa tayari kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 27. Kwa mujibu wa Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa ambaye wizara yake ndiyo inayoratibu uchaguzi huo, uandikishaji wa safari hii umevuka malengo na kwamba…

Read More

Mpinzani wa Erdogan, Gulen, afariki uhamishoni Marekani – DW – 21.10.2024

“Vyanzo vyetu vya intelijensia vinathibitisha kifo cha kiongozi wa shirika la FETO,” Waziri wa Mambo ya Nje, Hakan Fidan, aliuambia mkutano wa waandishi wa habari, akitumia neno la Uturuki kumaanisha vuguvugu maarufu la Gulen linalomiliki shule, biashara, na mashirika ya hisani. Televisheni ya umma ya Uturuki, TRT, ilisema kuwa mhubiri huyo, ambaye ameishi Pennsylvania kwa…

Read More

MPIGA PICHA WA TBC ANYAKUA TUZO

Mpiga picha wa Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya ESK Production Elia Stephano ameshinda tuzo katika kipengele cha Best C.E.O of the year in media and content creation katika Tuzo za wakurugenzi vijana (Young C.E.O awards Afrika) zilizofanyika katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam. Mpiga picha…

Read More