Papa Potwe ni alama mpya inayoitambulisha Tanzania kwenye ramani ya Dunia

  WAKATI Afrika Kusini bendera yao inapepea dunia kwa kuwa na kivutio cha kipekee cha Kifaru mweupe Tanzania kwenye visiwa vya Mafia yupo Papa Potwe kwa kiingereza Whale Shark, watalii hutoka sehemu mbalimbali duniani kumfuata Potwe. Anaripoti Faki Sosi, Mafia … (endelea). Hatujamtanga vizuri, siku tukiamua kumtangaza tutakuwa hatuana hoteli za kuwaweka wageni watakaovutiwa na…

Read More

MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA MKOMBOZI KWA MKULIMA

  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb) akiwa na Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na Viongozi wa Wizara wakiongozwa na Naibu Waziri Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Morogoro wakiangalia miche iliyopo katika kitalu cha kuotesha miche ya…

Read More