Beach Penalties inaendelea kutoa mamilionea

  Mchezo wa kasino wa Beach Penalties unaendelea kutoa mamilionea kwani wadau kibaoambao wanacheza mchezo huo wanafanikiwa kushinda mikwanja, Umebaki wewe tukuweza kujumuika na washindi. Umahiri wako wa kupiga mikwaju ya Penalty ndio inaweza kukufanya ukaondoka na mamilionikupitia mchezo huu pendwa kwasasa, Kwani utapaswa kupiga penalty zako tano na kuziwekawavuni baada ya hapo uondoke na…

Read More

REA YAFIKISHA UMEME KWA WANANCHI 2400 NJOMBE

-Zaidi ya shilingi bilioni 80 zimetumika miradi ya REA Njombe -Wananchi watakiwa kutunza vyanzo vya maji -REA kuwezesha waendelezaji wadogo wa umeme kutoa huduma Imeelezwa kuwa, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umepeleka umeme kwa wananchi wapatao 2,400 wa vijiji nane (8) vya Tarafa ya Lupembe, Wilaya ya Njombe mkoani Njombe baada ya kuiwezesha kampuni ya…

Read More

Vodacom yafanya maboresho makubwa kuwahakikishia wateja huduma bora

  KAMPUNI kinara ya teknolojia na mawasiliano nchini, Vodacom Tanzania, imetangaza kufanya mabadiliko makubwa katika miundombinu ya mtandaowake ikiwa ni sehemu ya kuwahakikishia wateja wake huduma bora na za kisasa zaidi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumzia hatua hii, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Philip Besiimire alisema kuwaVodacom imejidhatiti kuwa kinara katika…

Read More

RAIS SAMIA AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA MILLENIUM CHALLENGE CORPORATION BI. ALICE ALBRIGHT MJINI IOWA, MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bi. Alice Albright kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliyolenga kukuza na kuimarisha mahusiano leo tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan…

Read More

TBS YATOA ELIMU YA UDHIBITI UBORA KATIKA MAONESHO YA WIKI YA MWANAKATAVI MPANDA

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya masuala ya udhibiti ubora kwa wananchi na wajasiriamali katika Maonesho ya tatu ya Wiki ya Mwanakatavi yanayoendelea katika viwanja vya Azimio Mpanda Mkoani Katavi. Afisa udhibiti ubora Kanda ya Magharibi (TBS) Bw. Hassan Hassan, akitoa elimu ya masuala ya udhibiti ubora kwa wananchi na wajasiriamali waliotembelea…

Read More

DC MPOGOLO ATOA MAELEKEZO SIKU YA LISHE

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameongoza maadhimisho ya Siku ya Lishe Duniani, ambayo kiwilaya yamefantika  katika viwanja vya Shule ya Msingi Majohe, huku akitoa maelekezo kadhaa. Akizungumza katika maadhimisho hayo, jijini Dar es Salaam,  DC Mpogolo, ameelekeza  chakula  kutolewa shuleni kuwa ni jambo lazima hivyo kuzitaka kamati za shule, maofisa elimu kata na…

Read More

Katavi wahimizwa kuzingatia alama ya ubora ya TBS

Shirika la Viwango nchini TBS  limeendelea kutoa elimu kwa Wananchi juu ya kuzingatia alama za ubora na matumizi ya bidhaa zilizothibitishwa na TBS. Akitoa elimu hiyo Afisa udhibiti ubora Kanda ya Magharibi (TBS) Bw. Hassan Hassan amewataka kutumia bidhaa zenye alama ya ubora na kwa wajasiriamali kujitahidi wapate alama ya ubora katika bidhaa zao kwa…

Read More