KAMPUNI YA COCA-COLA YANOGESHA TAMASHA LA ‘INTERNATIONAL FOOD CARNIVAL’

Kampuni ya Coca-Cola imekuwa miongoni mwa wadhamini wakuu katika Tamasha la kimataifa la vyakula maarufu ‘Internation Food Carnival’ lililofanyika kwa siku mbili mfululizo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, ambapo mamia ya watu walikusanyika kwenye viwanja vya Green Oysterbay, kusherehekea utofauti wa vyakula mbalimbali. Tamasha hilo, lililovutia wapenzi wa vyakula, familia, na watalii, liliwaletea…

Read More

Israel yaonya kuhusu mashambulizi dhidi ya shirika la fedha la Hezbollah.

Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo. Milipuko hiyo inaaminika kuhusishwa na mvutano unaoendelea unaohusisha kundi la wanamgambo wenye nguvu la Hezbollah lenye makazi yake nchini Lebanon. Hali hii imechochewa na maonyo ya Israel kuhusu uwezekano wa kushambulia shughuli za kifedha…

Read More

WAZIRI MCHENGERWA AFUNGA ZOEZI LA UANDIKISHAJI DAFTARI LA MPIGA MPIGA KURA

  Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala  za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI ) Mohammed  Mchengerwa leo 20,Oktoba 2024  amefunga zoezi la kujiandikisha kupiga kura na kutoa taarifa ya siku tisa ya waliojitokeza kujiandikisha nchini ambapo watanzania zaidi ya Mil. 26,769,995 wamejiandikisha sawa na asilimia 81.15  ya Watanzania wamejiandikisha. Mhe. Mchengerwa amejiandikisha katika…

Read More

Afrika kujadili haki ya Umiliki wa Ardhi kwa vijana

Na Seif Mangwangi, Arusha Migogoro ya kisiasa katika nchi nyingi za kiafrika na kutokuwepo kwa sera za kuwezesha vijana kumiliki ardhi ni miongoni mwa changamoto zinazoelezwa kuchangia umaskini kwa vijana barani Afrika. Hayo yameelezwa leo Oktoba 20,2024 Jijini hapa na waandaaji wa Kongamano la Kimataifa kuhusu vijana na utawala wa Ardhi barani Afrika (CIGOFA4), linaloanza…

Read More