ZOEZI LA UANDIKISHAJI LATAMATIKA KWA AMANI

Na Linda Akyoo -Moshi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdun Babu ameeleza namna alivyo furahishwa na zoezi la uandikishaji Wilaya ya Same linavyotamatika kwa amani na utulivu, huku akiipongeza kamati ya usalama ya Wilaya kwa kazi nzuri ya kuimarisha usalama ndani ya siku zote 10 za uandikishaji kuanzia Oktoba 11 hadi 20 mwaka huu…

Read More

Uhifadhi wa mifumo ya ikolojia katika hifadhi ndio kipaumbele cha serikali ya Tanzania – Prof Malebo

Na Mwandishi Wetu,New York Marekani. Katibu Mtendaji wa Tume ya UNESCO Tanzania Profesa Hamisi M. Malebo amesema Serikali ya Tanzania imeweka kipaumbele katika kulinda mifumo ya uhifadhi wa ikolojia iliyomo katika ardhi ya Tanzania. Prof Malebo amesema pamoja na ukweli kuwa jamii ya Wamaasai imeishi pamoja na wanyamapori kwa vizazi vingi, zipo taarifa za changamoto…

Read More

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, ameipongeza SADC kwa kuimarisha Demokrasia

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, ameipongeza Jumuiya ya maendeleo nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kwa hatua muhimu iliyofikiwa katika kumairishwa kwa Demokrasia, Amani, Ulinzi, Usalama na Maendeleo kwa Nchi za Jumuiya hiyo.   Akiungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuwasili Jijini Gaborone Nchini Botswana, kutekeleza majukumu ya uangalizi wa uchaguzi Mkuu…

Read More

MCHECHU ACHANGISHA SH117.8.MILIONI UJENZI WA KANISA NAIBILI

Kilimanjaro. Bw. Nehemiah Mchechu, Msajili wa Hazina na kiongozi anayejulikana kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya nyumba, benki, na biashara, ameendesha harambe iliyowezesha kuchangisha Sh117.8 milioni kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Naibili, Siha, Kilimanjaro. Kati ya fedha hizo kwaajili ya jengo hilo mpya la ibada…

Read More

Alikiba atunukiwa TUZO kama CHAMPION wa Maendeleo ya Mtoto wa Kike

Alikiba atunukiwa TUZO kama CHAMPION wa Maendeleo ya Mtoto wa Kike kupitia Kongamano la KIGODA LA WASICHANA @kigodachawasichana lililofanyika Tarehe 11/10/2024 katika maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Kike visiwani Zanzibar. Kongamano lililoandaliwa na Taasisi ya @shirazfoundation imemkabidhi Tuzo hiyo Alikiba alipohudhuria na kushiriki Kongamano hilo viwanja vya Nyamanzi Zanzibar na kuhudhuriwa na Mgeni Rasmi,…

Read More

TWENZETU KILELENI MSIMU WA NNE(4) UMEZINDILIWA TENA.

Na Linda Akyoo Kampuni ya ZARA Adventure, iliyoko Moshi mkoani Kilimanjaro, imezindua kampeni ya Twenzetu Kileleni season 4 kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi wa ZARA Adventure Bi.Zainabu alielezea lengo la kampeni hiyo na jinsi inavyolenga kuchochea utalii wa ndani na kukuza uhusiano kati…

Read More

Mchechu achangisha Sh.117.8 Million ujenzi wa kanisa

Nehemiah Mchechu, Msajili wa Hazina na kiongozi anayejulikana kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya nyumba, benki, na biashara, ameendesha harambe iliyowezesha kuchangisha Sh117.8 milioni kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Naibili, Siha, Kilimanjaro. Kati ya fedha hizo kwaajili ya jengo hilo mpya la ibada ambalo ujenzi…

Read More