
ZIFF, EU WALETA FILAMU TANZANIA BARA 2024
Na. Andrew Chale, Dar es Salaam TAMASHA la Kimataifa la filamu za Nchi za Majahazi (Zanzibar International Film Festival-ZIFF) kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU), Nchini wametangaza rasmi uoneshaji wa filamu katika baadhi ya Mikoa minne ya Tanzania Bara katika Vyuo Vikuu na vituo vya Utamaduni wa Nchi Wanachama hapa nchini program inayofahamika ZIFF…