Mtaalamu bingwa wa nyonga na magoti wa Uingereza atua Dar Atashirikiana na wataalamu wa Mloganzila

    Na Mwandishi Wetu MTAALAMU bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti  kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya kambi ya matibabu ya siku tano kwa watanzania. Daktari huyo kwa kushirikiana na wataalamu wa ndani atafanya upasuaji huo kwenye kambi itakayofanyika katika hospitali ya…

Read More

Tajirika na Mechi za Kibabe Leo Hii

LEO ni siku nyingine tena ya kutusua mapene na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yakipatikana hapa. Unasubiri nini sasa?. Ingia na ubashiri hapa. Baada ya jana EPL kuendelea leo pia kuna mechi mbili sana mapema kabisa Manchester City atakuwa mgeni wa Wolves ambaye ana hali sana kwenye ligi…

Read More

Rigathi Gachagua amshutumu bosi wake Ruto kwa ukatili – DW – 20.10.2024

Makamu wa Rais wa Kenya aliyeng’olewa madarakani, Rigathi Gachagua,Jumapili alimshutumu vikali bosi wake, William Ruto, kuwa katili mkubwa, akionya kwamba maisha yake yanaweza kuwa hatarini. Gachagua aliondolewa madarakani na Seneti kwa mashtaka matano kati ya 11 yaliyowasilishwa dhidi yake Alhamisi, lakini agizo la mahakama limesitisha mchakato wa kumteua mrithi wake. “Nimeshtushwa na jinsi mtu niliyemsaidia…

Read More

PINDA AIPONGEZA SADC KUIMARISHA DEMOKRASIA

Na: Fortunatus Charles Kasomfi, Gaborone, Botswana. Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, ameipongeza Jumuiya ya maendeleo nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kwa hatua muhimu iliyofikiwa katika kumairishwa kwa Demokrasia, Amani, Ulinzi, Usalama na Maendeleo kwa Nchi za Jumuiya hiyo. Akiungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuwasili Jijini Gaborone Nchini Botswana, kutekeleza…

Read More

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YANOLEWA

Na Mwandishi wetu- Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imelipongeza Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa kuendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo kuhakikisha kunakuwa na ushiriki wa Wananchi katika shughuli za uchumi na kujiletea maendeleo. Pongezi hizo zimetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Florent Kyombo wakati…

Read More

UNESCO na Alwaleed Philanthropies Wazindua Mradi wa Kuendeleza Utamaduni na Sanaa Tanzania

Na Rose Ngunangwa Dar Es Salaam UNESCO kwa kushirikiana na Alwaleed Philanthropies, imezindua mradi unaolenga kuiwezesha jamii kutumia Utamaduni, Sanaa na Elimu ili kuleta Maendeleo endelevu nchiini Tanzania. Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO nchiini Tanzania Bwana Michel Toto alibainisha hayo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati akifungua mkutano uliojumuisha wanufaika wa…

Read More