
UNESCO na Alwaleed Philanthropies Kuendeleza Utamaduni na Elimu Tanzania kwa Mradi Mpya – MWANAHARAKATI MZALENDO
Na Rose Ngunangwa Dar Es Salaam UNESCO kwa kushirikiana na Alwaleed Philanthropies, imezindua mradi unaolenga kuiwezesha jamii kutumia Utamaduni, Sanaa na Elimu ili kuleta Maendeleo endelevu nchiini Tanzania. Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO nchiini Tanzania Bwana Michel Toto alibainisha hayo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati akifungua mkutano uliojumuisha…