
KWANI WEWE HAUGOPI! YANGA SC YAICHAPA SIMBA SC DAKIKA ZA JIONI
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TVKLABU ya Yanga imeendelea kuwa mbabe kwa mpinzani wake mkubwa Simba Sc mara baada ya leo kupokea kichapo cha bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo ambao ulikuwa wa aina yake, tumeshuhudia kandanda safi kutoka kwa…