
WAZIRI MAVUNDE AELEZA UMUHIMU WA MADINI BONANZA
*Dodoma* Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameeleza kuhusu umuhimu wa Madini Bonanza na kueleza kuwa limelenga kuimarisha umoja, mshikamano na ushirikiano baina ya Watumishi wa Wizara na Taasisi zake ili kuifanya Wizara kuwa familia moja. Amesema hayo leo Oktoba 19, 2024 katika Viwanja vya Shule ya Sekondari John Merlin – Miyuji jijini Dodoma, wakati…