
ROYAL TOUR YA RAIS SAMIA YAING’ARISHA SERENGETI NA MLIMA KILIMANJARO KIMATAIFA
Taasisi ya World Travel Awards imetangaza hifadhi mbili za Tanzania kuwa washindi katika vipengele vya hifadhi na kivutio bora cha utalii barani Afrika kwa mwaka 2024. Hifadhi ya Taifa Serengeti imetangazwa kuwa mshindi katika kipengele cha Hifadhi Bora Barani Afrika (“Africa’s Leading National Park 2024”) wakati Mlima Kilimanjaro ikitangazwa kuwa Kivutio bora cha Utalii Barani…