
Oryx yagawa mitungi 200 kwa wauguzi Chalinze
WAUGUZI 200 katika Halmashauri ya Wilaya Chalinze Mkoani Pwani ambao wanaohudumia wamama wenye watoto njiti wamepatiwa mitungi ya gesi ya Oryx 200 pamoja na majiko yake kwa lengo la kuwawazesha kutumia muda mwingi kuwahudumia wamama hao badala ya kuhangaika kutafuta kuni na mkaa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chalinze … (endelea). Mitungi hiyo imetolewa na Kampuni…