
Mafuriko yapelekea watu 95 kufariki dunia Uhispania – DW – 31.10.2024
Kulingana na huduma za dharura katika ujumbe ulioandikwa kwenye mtandao wa kijamii wa X, mji wa Valencia ndio ulioathirika zaidi huku watu 92 wakifariki dunia katika mji huo pekee. Miili mingine miwili imepatikana katika eneo jirani la Castilla-La Mancha huku mtu mmoja akifariki katika mji wa kusini wa Malaga. Helikopta zatumika badala ya barabara Dazeni…