Rais Mwinyi aifungua bandari kavu ya Maruhubi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Mapinduzi makubwa katika sekta ya Miundombinu ya Bandari yanalenga kuifanya Zanzibar kuwa kituo muhimu cha Usafirishaji na kupokea Meli kubwa zinazoleta bidhaa nchini. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 18 Oktoba 2024 alipoifungua Bandari kavu ya Maruhubi, Mkoa wa Mjini Magharibi. Amefahamisha…

Read More

MAJIMBO KUMI (10) YA MKOA WA DODOMA KUSAMBAZIWA UMEME

-Uwekezaji huo utaigharimu Serikali shilingi bilioni 18 katika kipindi cha miaka miwili-Kaya 4,950 zitanufaika na Mradi huo Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, leo tarehe 18 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, mkandarasi, kampuni ya DERM Group (T) Ltd; kampuni ya ndani, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi…

Read More

SADC YAENDESHA MAFUNZO KWA WAANGALIZI WAKE WA UCHAGUZI BOTSWANA

Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (𝗦𝗔𝗗𝗖) inaendesha mafunzo kwa Ujumbe wa Uangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC Electoral Observation Mission – SEOM) katika uchaguzi Mkuu wa Botswana unaotarajiwa kufanyika tarehe 30 Oktoba, 2024. Mafunzo hayo maalum kwa Ujumbe wa SEOM yanafanyika jijini Gaborone, Botswana kuanzia tarehe 17 hadi…

Read More

Je, Google itasalimu amri kwa shinikizo la sheria Marekani? – DW – 18.10.2024

Mwezi Agosti, mahakama kuu ya Marekani iliamua kuwa Google inashikilia ukiritimba kwenye utafutaji wa mtandaoni na inautetea kwa njia zisizo za haki dhidi ya washindani. “Hii ni hukumu ya kihistoria,” anasema Ulrich Müller, mwanzilishi wa shirika lisilo la faida la Rebalance Now la Ujerumani, ambalo linatetea kudhibiti nguvu za makampuni makubwa. Aliambia DW kuwa uamuzi…

Read More