
MRADI WA MAFUTA GHAFI EACOP WAFIKIA ASILIMIA 45.5
Mratibu wa Mradi wa EACOP kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Asiadi Mrutu akielezea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (EACOP), unaounganisha Hoima nchini Uganda na Chongoleani, Tanga, umefikia asilimia 45.5 katika hatua ya ujenzi ambapo shughuli za…