Kwa mafanikio zaidi cheza Rich Panda

Meridianbet wametoa mchezo mpya tena wa kukupa mkwanja mrefu mno, mchezo huu wenyemakeke huku inakupa mkwanja, uaweza kuipata katika kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Mabingwa hawa wa kubashiri na wenye michezo ya kipekee ambayo huwezi kupata kwenyekasino yoyote ya Mtandao.. Fikiria michezo kama Super Heli, Rich Panda, Beach Penalty inapatikana Meridianbet kasino na inatoa mkwanja…

Read More

Mahakama yasitisha kuondolewa kwa Gachagua ofisini

  MAHAKAMA Kuu katika Jamhuri ya Kenya, imesitisha utekelezwaji wa azimio la Seneti la kuidhinisha mashtaka ya kumuondoa madarakani Rigathi Gachagua. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Uamuzi huo umetolewa muda mfupi tu baada ya Bunge la Kitaifa kuafiki uteuzi wa Kithure Kindiki kuwa Naibu wa Rais baada ya Rais William Ruto kuwasilisha jina lake…

Read More

Kalonzo, wenzake wapinga kuondolewa kwa Gachagua

  BAADHI ya wapinzani nchini Kenya, wakiongozwa na kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, wamelaumu Bunge la Seneti kwa kufanya haraka kumuondoa ofisini aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, bila kujitetea. Inaripoti MItandao ya Kimataifa, Nairobi, Kenya … (endelea). Kalonzo na wenzake wametoa kauli hiyo leo, wakati wakizungumza na waandishi wa habari walipokwenda kumjulia hali…

Read More