BALOZI NCHIMBI AJIANDIKISHA KUPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA, ATOA WITO WATU KUJITOKEZA KWA WINGI

Na Mwandishi Maalum, Dodoma Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amejiandikisha kwenye daftari la wakazi katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma leo tarehe 18, Oktoba 2024. Akizungumza baada ya kujiandikisha, Balozi Nchimbi aliwasisitiza wananchi umuhimu wa kujitokeza kwa wingi kuandikishwa, akisema kuwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha…

Read More

WANANCHI WA MAGAMBA WARIDHIA UCHIMBAJI WA BAUXITE

Na Ashrack Miraji Michuzi blog Lushoto Tanga Wananchi wa Kata ya Magamba, wilayani Lushoto, mkoani Tanga, wamekubaliana na kuanza kwa uchimbaji wa madini ya bauxite baada ya kupata elimu ya kina kutoka kwa wataalamu wa kampuni ya Paulsam Geo Engineering Co. Ltd. Hatua hiyo inafuatia mgogoro wa muda mrefu kuhusu mradi huo. Mkutano ulioitishwa na…

Read More

Prof. Kindiki arithi mikoba ya Gachagua Kenya

  Waziri wa Usalama wa Ndani na Utawala wa Kitaifa, Prof. Kithure Kindiki (52), ameteuliwa kuwa Naibu Rais wa Kenya, baada ya Bunge la Seneti kumtimua, Rigathi Gachagua, kwa kura jana usiku. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Tayari Rais William Ruto, amewasilisha jina la Prof. Kindiki bungeni na wabunge wamepiga kura ya kumthibitisha.Awali, Spika…

Read More

CP Wakulyamba aibukia Simiyu, atoa wito kwa wananchi

  WIZARA ya Maliasili na Utalii imetoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kulinda maeneo yanayohifadhiwa kisheria pamoja na kuhakikisha udhibiti wa Wanyamapori hao unafanyika kwa njia mbalimbali ikiwemo wananchi kuacha kuvamia na kulima mazao yanayopendwa na wanyamapori hususan Tembo pamoja na kuchunga mifugo maeneo ya wanyama hao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Simiyu ……

Read More