Balozi Nchimbi ajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiandikisha kwenye daftari la wakazi katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma leo tarehe 18, Oktoba 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza baada ya kujiandikisha, Balozi Nchimbi aliwasisitiza wananchi umuhimu wa kujitokeza kwa wingi kuandikishwa, akisema kuwa ni hatua muhimu…

Read More

Mashambulizi dhidi ya Wafanyakazi wa Misaada nchini Lebanoni Yazuia Juhudi za Usaidizi – Masuala ya Ulimwenguni

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF Ted Chaiban, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa WFP Carl Skau, Mwakilishi wa UNICEF Lebanon Édouard Beigbeder, na Mkurugenzi wa WFP nchini Lebanon Matthew Hollingworth, walitembelea Mpaka wa Masnaa katika Bekaa ambako UNICEF inafanya kazi ili kutoa msaada muhimu kwa jamii zilizoathirika. Credit: UNICEF/Fouad Choufany na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Ijumaa,…

Read More

BIL. 4.5 KUTEKELEZA MIRADI SUA

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)  katika kipindi cha mwezi Mei hadi Oktoba, 2024 kimefanikiwa  kupata miradi 11 yenye jumla ya thamani ya takribani  shilingi bilioni 4.5.  Hayo yameelezwa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Raphael Chibunda  kwenye mahafali ya 44 yaliyofanyika katika Kampasi ya Edward Moringe  Mjini Morogoro na kuhudhuliwa na wadau…

Read More

WAZIRI MHAGAMA KUSHUGHULIKIA HOJA ZA WAUGUZI.

Na WAF, DODOMA Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Oktoba 17, 2024 amekutana na Uongozi wa Chama cha Wauguzi na Ukunga Tanzania (TANNA) na kujadili mpango kazi wa utekelezaji wa hoja za wauguzi zilizo jitokeza wakati wa mkutano wa mwaka uliofanyika 12 Mei, 2024 ili kuongeza ubora wa Huduma kwa wananchi. Mhe. Mhagama amesema…

Read More

Serikali inatambua umuhimu wa TEHAMA- Majaliwa.

Na Grace Semfuko, Maelezo WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, amesema Serikali inatambua umuhimu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), katika kuleta mapinduzi ya kiuchumi na kijamii, na ndio maana inawekeza kwa kiasi kikubwa katika sekta hiyo muhimu. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Oktoba 17, 2024 Jijini Dar es…

Read More

WATAFITI KUTOKA MATAIFA KUMI KUJADILI ELIMU MSINGI NCHINI

WATAFITI 111 kutoka mataifa kumi ulimwenguni wamekutana katika kongamano la Elimu lililoandaliwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kuwasilisha na kujadili matokeo ya tafiti zao mbalimbali walizozifanya kuhusiana na elimu msingi na kutoa mapendekezo namna ya kuikuza elimu hiyo nchini. Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na mgeni rasmi katika ufunguzi wa…

Read More