
WIZARA YA ARDHI YAJA NA MPANGO WA UENDELEZAJI ENEO LA SINZA DAR ES SALAAM
Na Munir Shemweta, WANMM Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inakuja na mpango wa uendelezaji upya eneo la Sinza jijini Dar es Salaam (Sinza Redevelopment Plan 2024 – 2044.). Hayo yamebainishwa leo tarehe 17 Oktoba 2024 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii wakati wa uwasilishaji taarifa ya…