COCA-COLA YAZINDUA KAMPENI YA ‘FOOD PASS’ YENYE ZAWADI KEMKEM KWA WATEJA WA KFC DAR ES SALAAM

Kampuni ya Coca-Cola Tanzania imezindua kampeni maalum inayowalenga wateja wa migahawa ya KFC jijini Dar es Salaam, ambapo wanapata fursa ya kushiriki Tamasha la Chakula la Coca-Cola linalotarajiwa kufanyika Novemba sambamba na zawadi kemkem kutoka Coca-Cola. Kampeni hii, iitwayo ‘Food Pass’, inatoa zawadi mablimbali kwa wateja watakaonunua chakula maalum cha “Pamoja-Coke Fest Meal”, ambacho kinajumuisha…

Read More

Makamba apiga kambi Bumbuli,kuongeza kasi ya uandikishaji.

Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba amewataka wakazi wa jimbo hilo kuendeleza kasi ya kujiandikisha ili kufikia au kupita lengo lilojiwekea la uandikishaji. Mbunge huyo ambaye amepiga kambi jimboni kwa ajili ya kuhamasisha uandikishaji amewapongeza wakazi wa jimbo hilo kwa kujitokeza kwa wingi na kuwezesha halmashauri ya Bumbuli kuwa miongoni mwa halmashauri zinazofanya vizuri…

Read More

Israel:Kuna uwezekano kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar ameuawa – DW – 17.10.2024

Jeshi la Israel limesema kuna uwezekano mkubwa kuwa Sinwar ameuawa na kwamba kwa sasa wanasubiri majibu ya vipimo vya vijinasaba (DNA), lakini wakasisitiza kuwa katika hatua hii, hawajaweza kuthibitisha utambulisho wa wale iliyowaita “magaidi”. Sinwar, anachukuliwa kama mratibu mkuu wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana dhidi ya Israel ambalo lilisababisha vifo vya karibu watu…

Read More

Zelensky awasilisha “Mpango wa Amani” kwenye Umoja wa Ulaya – DW – 17.10.2024

Rais Volodymy Zelensky wa Ukraine amelihutubia Baraza la Umoja wa Ulaya mjini Brussels na kuwasilisha ”Mpango wa Ushindi’ wa taifa hilo huku akiwasisitizia washirika wake kwamba Ukraine inahitaji uungwaji mkono thabiti kutoka kwa jumuiya ya kimataifa na hasa katika wakati inapojiandaa kwa ajili ya mkutano ujao wa amani.  Rais Volodymyr Zelensky aliwasili Brussels na kukaribishwa na Rais wa…

Read More

NI MUHIMU WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KUCHAGUA VIONGOZI BORA – AWESO

Na Oscar Assenga,PANGANI MBUNGE wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso amesema kwamba Tanzania ni nchi ya kidemokrasia na ili upate viongozi lazima ufanye uchaguzi huku akiwataka wananchi kujiandikikisha kwenye daftari la kupiga kura ili kutimiza haki yao ya msingi. Aweso ambaye ni Waziri wa Maji aliyasema hayo leo mara baada ya kujiandikisha kwenye daftari…

Read More

Gachagua akalia kuti kavu, adaiwa kukimbizwa hospitali

  Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ameshindwa kujitetea mbele ya Bunge la Seneti, baada ya kudaiwa kuugua na kupelekwa hospitali. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Wakili wake, Paul Muite, ameliambia Bunge la Seneti kwamba Gachagua ni mgonjwa na kuwa yuko hospitalini, saa chache kabla hajajitetea mbele ya maseneta. Gachagua alitakiwa kujitetea mbele ya…

Read More