Katibu Mkuu Luhemeja amesema Kaboni sio biashara

KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mha. Cyprian Luhemeja amesema Kaboni sio biashara bali ni Utunzaji wa Mazingira wenye motisha kwa mtu ili aendelee kuhifadhi na kutunza mazingira. Ameyasema hayo Oktoba 16, 2024 mkoani Morogoro alipotembelea Kituo cha Kitaifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC) ambapo ameeleza moja ya vitu ambavyo atahakikisha vinafanyika haraka ni katika…

Read More

Gachagua augua ghafla katikati mwa kesi yake mbele ya Seneti – DW – 17.10.2024

Taarifa hiyo ilisababisha Spika wa Seneti, Amason Kingi, kuahirisha vikao hadi saa 11 jioni, jambo ambalo linazidi kuongeza msisimko kwenye mzozo wa kisiasa uliokuwa ukifuatiliwa sana katika taifa hilo la Afrika Mashariki. “Ukweli wa kusikitisha ni kwamba Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya anaumwa sana, na… yuko hospitalini,” alisema wakili Paul Muite mbele ya baraza…

Read More

Shinda maokoto leo kupitia Wildfire

Kuondoka na maokoto leo ni suala ambalo lipo nje nje kabisa kwanikupitia mchezo wa kasino wa Wildfire unaweza kushinda mkwanja wakutosha ni wewe kupita pale kwenye tovuti ya Meridianbet. Moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni inayolipa Zaidi ni Wildfire Wins ni mchezo wa kasinowenye safuwima tano zilizopangwa kwenye safu ulalo tano na ina mistari…

Read More

Mgogoro wa wakimbizi Sudan, UNRWA Gaza update, ghasia kuongezeka Sudan Kusini, wito wa kusitisha hukumu ya hivi karibuni ya Marekani – Masuala ya Kimataifa

Katika wiki ya kwanza ya Oktoba pekee, karibu watu 25,000 walikimbilia mashariki mwa Chad, na hivyo kuashiria kufurika kwa wingi kila wiki mwaka huu. Hii inafuata miezi kadhaa ya ghasia zinazozidi katika Darfurna Chad sasa inawahifadhi zaidi ya wakimbizi 600,000 wa Sudan, ambayo ni zaidi ya nchi nyingine yoyote katika eneo hilo. Tangu mzozo huo…

Read More