
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR- KUMUWAKILISHA RAIS WA ZANZIBAR- MKUTANO WA WATUNZA KUMBUKUMBU NA NYARAKA – DODOMA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema kuwa utunzaji nzuri wa kumbukumbu na Nyaraka unapelekea kwa kiasi kikubwa katika kuchochea ukuaji wa uchumi na uwekezaji nchini. Ameyasema hayo kwa niaba ya Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussen Ali Mwinyi katika Mkutano wa kumi…