
Majaliwa awataka vijana kutumia fursa uwekezaji wa TEHAMA
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana kutumia fursa ya uwekezaji unaofanya na Serikali katika sekta ya TEHAMA ili kukuza uchumi binafsi na Taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo leo Oktoba 17, 2024 wakati akimwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Kongamano la Nane la Mwaka la TEHAMA, linalofanyika katika…