
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 17,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 17,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 17,2024 About the author
KAMATI Tendaji ya Utekelezaji wa Mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuimarisha Uangazi wa Hali ya Hewa (SOFF) imekutana kwa mara kwanza katika ukumbi wa hoteli ya Morena, Morogoro, tarehe 16 Oktoba 2024, ikiwa na lengo la kupitia na kuidhinisha nyaraka muhimu za kuanza rasmi utekelezaji wa Mradi huo nchini Tanzania. Anaripoti…
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini (CGP) Jeremiah Yoram Katungu, jioni ya leo tarehe 16 Oktoba 2024, amempokea Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Taifa, Balozi Khamis Kagasheki, pamoja na aliyekuwa Kamishna mstaafu wa Jeshi la Magereza, Juma Malewa. Ujumbe wa Bodi hiyo unatarajia kufanya kikao katika Mkoa wa Mwanza kujadili maombi ya wafungwa 131,…
Serikali kupitia Wizara ya Madini imeazimia kurudisha minada ya ndani ya madini ya vito itakayofanyika katika maeneo ya uzalishaji hususan Mirerani, Mahenge, Tunduru, Dar es salaam, Arusha na Tanga na kimataifa itafanyika mji wa Bangkok na Jaipur nchini Thailand. Hayo yamesemwa leo Oktoba 16, 2024 na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde wakati akijibu hoja…
As Monaco wanakimbiza mwizi kimya kimya ndio kauli ambayo unaweza kuitumia kwa klabu hiyo ambayo mpaka sasa ndio vinara wa ligi kuu nchini Ufaransa maarufu kama Ligue 1. Klabu ya As Monaco katika hali ya kushtusha wamefanikiwa kushika usukani wa ligi kuu ya soka nchini Ufaransa baada ya michezo saba ya ligi hiyo kuchezwa,…
Leo Oktoba 16, 2024, Menejimenti ya HESLB imekuwa na kikao kazi na Maafisa Mikopo kutoka vyuo vikuu na vya kati kwa lengo la kupeana mikakati ya usimamizi wa fedha za mikopo kwa wanafunzi wa vyuo kwa mwaka wa masomo wa 2024/2025, ikiwa ni pamoja na kuangalia namna bora ya kuboresha huduma kwa wanafunzi wanufaika wa…
RAIS Samia Suluhu Hassan amewapongeza umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM (UVCCM) kwa kufanya matembezi ya pamoja ya vijana zaidi ya 2000 waliotoka Butiama na kutembea hadi jijini Mwanza katika kuenzi kuadhimishamiaka 25 ya kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere. Safari hiyo ya vijana zaidi ya 2000 ilianza Oktoba 09, 2024…
Naibu waziri wa Kilimo Mh Devid Silinde amehitimisha maonyesho ya Wiki ya chakula duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Kagera. Awali ametembelea mabanda ya washiriki wa maonyesho hayo likiwemo banda la tume ya taifa ya umwagiliaji ambao wameshiriki tangu siku ya kwanza mpaka leo kilele chake. Aidha Mh Silinde amesema kuwa serikali wana mpango wa kujenga…
TAASISI ya OnaStories imezindua makala maalum kuhusiana na kada ya usafiri wa daladala kwa mfumo wa kidijitali, kwa lengo la kuifahamisha jamii ya Kitanzania na Kimataifa kutambua historia ya usafiri huo ulipoanzia. Makala hii ni sehemu ya Mradi wa UTANZANIA, ambao unachunguza “Utanzania ni nini?” na kuuliza ni nini hasaa kinachomtambulisha Mtanzania halisi. Mradi huu…
TAASISI ya OnaStories imezindua makala maalum kuhusiana na kada ya usafiri wa daladala kwa mfumo wa kidijitali, kwa lengo la kuifahamisha jamii ya Kitanzania na Kimataifa kutambua historia ya usafiri huo ulipoanzia. Makala hii ni sehemu ya Mradi wa UTANZANIA, ambao unachunguza “Utanzania ni nini?” na kuuliza ni nini hasaa kinachomtambulisha Mtanzania halisi. Mradi huu…