
LIVERPOOL, MAN CITY, ARSENAL VITA BADO MBICHI EPL
MSIMAMO wa ligi kuu ya Uingereza mpaka sasa unaongozwa na majogoo kutoka Anfield klabu ya Liverpool, Lakini wapinzani wao wa karibu vilabu vya Arsenal pamoja na mabingwa watetezi klabu ya Manchester City wakiwafukuzia kwa karibu. Liverpool ambao wamecheza michezo saba mpaka sasa wanaongoza msimamo wa ligi hiyo pendwa duniani kwa alama 18, Kwani wamefanikiwa kushinda…