
CGP YORAM ATEMBELEA MRADI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA GEREZA KUU BUTIMBA
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini (CGP) Jeremiah Yoram Katungu leo Octoba 16,2024 ametembelea mradi wa nishati safi ya kupikia Gereza Kuu Butimba na kusifu uongozi wa Magereza Mkoa wa Mwanza kwa kuhakikisha maono ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yanatimia kwa Magereza yote nchini kuachana na matumizi ya kuni na kutumia nishati safi…