
MHE. RIDHIWANI: TUNAPELEKA MWENGE WA UHURU MLIMA KILIMANJARO KUITANGAZIA DUNIA MUUNGANO WETU UPO IMARA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Aidha, Waziri Ridhiwani Kikwete amesema kuwa kwa mwaka huu…