
Mamilioni ya watu wanakabiliwa na njaa Kusini mwa Afrika – DW – 16.10.2024
Hali hiyo inayotishia kusababisha mgogoro wa kiutu imeshawaathiri watu wasiopungua milioni 27 katika kanda hiyo. Nchi tano zikiwemo Lesotho Malawi, Zambia na Zimbabwe zimeshatangaza hali ya hatari katika miezi iliyopita wakati ukame ukiyaangamiza mazao na mifugo. Shirika la Mpango wa chakula duniani WFP limeeleza katika mkutano wake wa na wanahabari mjini Geneva Jumanne kuwa Angola…