
NAIBU WAZIRI PINDA AKUTANA NA MKURUGENZI WA UN-HABITAT
Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalishughulikia Makazi (UN-HABITAT) Bi.Anaclaudia Rossbach (kulia) akisisitiza jambo wakati wa kikao chake na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda mjini Zanzibar hivi karibuni. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji…