
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 16,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 16,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 16,2024 About the author
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Benki ya CRDB yaja na huduma ya mkopo wa kusaidia usajili kwa wanafunzi wa elimu ya juu usio na riba ili kuwezesha kuhimili gharama za awali kukamilisha usajili wa chuo. Mkurugenzi wa elimu ya juu toka Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Peter Msofe amesema mkopo huo utasaidia wanafunzi…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameithibitishia Jumuiya ya Kimataifa kuwa masuala ya demokrasia na haki za binadamu yataendelea kuimarika zaidi nchini Tanzania chini ya uongozi wa Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Balozi Nchimbi aliyasema hayo alipokutana na Balozi wa Uturuki nchini…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu uwepo wa vituo bandia vya kuandikisha wapigakura wa Serikali za Mitaa sio za kweli na taarifa sahihi ni kuwa alifafanua kuwa uandikishaji unafanyika kwenye vituo 80,812 kutokana na kuwa kuna baadhi ya mitaa au…
Na Grace Semfuko, Maelezo. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa, amesema Serikali imeendelea kuwekeza kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), na kufanya maboresho ya kisera, kisheria na kitaasisi pamoja na kujenga uwezo kwa watanzania, lengo likiwa ni kuifanyia Tanzania kuwa sehemu ya mabadiliko ya teknolojia Duniani. Mhe. Silaa ameyasema…
Ulimwengu lazima uchukue hatua kuboresha usalama wa chakula, ambao uko hatarini kutokana na migogoro na mabadiliko ya hali ya hewa. Credit, Busani Bafana/IPS by Busani Bafana (bulawayo, zimbabwe) Jumanne, Oktoba 15, 2024 Inter Press Service BULAWAYO, Zimbabwe, Oktoba 15 (IPS) – Siku ya Chakula Duniani 2024 Kiwango cha juu cha njaa kitaendelea kwa miaka mingine…
KAIMU Afisa Ustawi wa Jamii Jiji la Dodoma Dkt. Faudhia Mohamed,akizungumza wakati wa Maadhimisho ya siku ya Mwanamke anayeishi Kijijini yaliyofanyika leo Oktoba 15,2024 katika Kata ya Mpunguzi Jijini Dodoma Na.Gideon Gregory-DODOMA KAIMU Afisa Ustawi wa Jamii Jiji la Dodoma Dkt.Faudhia Mohamed ametoa rai kwa wanawake kwenda katika Halmashauri kuchukua mikopo ya wakina Mama inayotolewa…
Wanawake wanaoishi vijijini wamezungumzia changamoto wanazopitia kutokana na mazingira yao, ambazo wameeleza kuwa zinawanyima fursa adhimu za kimaendeleo, kiuongozi, kiuchumi, na kijamii. DW imezungumza na wanawake kutoka maeneo tofauti ya vijijini hapa nchini, na wakaeleza changamoto wanazopitia kutokana na mazingira yao. Aneth Mwinama, Mkazi wa Kijiji cha Chikunja, Wilaya ya Masasi, Mtwara, anasema mifumo…
MKUU wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali Majenerali, Maafisa na Askari wa JWTZ jijini Mwanza tarehe 15 Oktoba 2024. Nishani hizo ni Nishani ya Utumishi Uliotukuka, Nishani ya Utumishi Mrefu, Nishani ya Utumishi…
Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu akizungumza kuhusiana na Uwekezaji wa Maboresho na Ujenzi wa Kiwanda Tanga ,jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya AMANSOS Ahmed Mhada akizungumza kuhusiana na dhamira ya kufanya uwekezaji katika viwanda vya Saruji,Mbeya na Tanga. *Msajili wa Hazina asema ni mageuzi ya uwekezaji chini Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan…