
DC MPOGOLO AWATAKA WABUNIFU NA WAKADIRIAJI MAJENZI KUWA WAZALENDO
Na Humphrey Shao, Michuzi tv Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ametoa wito kwa Wabunifu na Wakadiriaji majenzi nchini kuwa Wazalendo, Waadilifu na Wabunifu kwa Taifa katika Utekelezaji wa Taaluma zao nchini. Mpogolo ametoa wito huo Mkoani Dar es salaam alipomuwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Nishati Doto Biteko na…