
Waziri Silaa: Tunaendelea kuwekeza kwenye TEHAMA
Na Grace Semfuko, Maelezo Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amesema Serikali imeendelea kuwekeza kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na kufanya maboresho ya kisera, kisheria na kitaasisi pamoja na kujenga uwezo kwa watanzania, lengo likiwa ni kuifanyia Tanzania kuwa sehemu ya mabadiliko ya teknolojia duniani. Silaa ameyasema hayo leo…