
Waziri atoa maelekezo FITI – Mtanzania
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana amekielekeza Chuo cha Viwanda vya Misitu Moshi (FITI) kujitangaza ili kupata soko la kuuza bidhaa za misitu zinazozalishwa na chuo hicho. Ametoa kauli hiyo leo Oktoba 15,2024 alipozungumza na uongozi wa chuo hicho wakati wa ziara ya kikazi katika chuoni hapo…