RAIS SAMIA ASISITIZA VIJANA KULINDA AFYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,akizungumza leo Oktoba 14, 2024, katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwenye hitimisho la Wiki ya Vijana, kumbukizi ya miaka 25 ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, pamoja na Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2024….

Read More

CEO NMB awafunda Wahitimu ‘Form Four’ Charlotte Sekondari

NA MWANDISHI WETU, MOROGORO KUELEKEA mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne itakayofanyika Novemba 11, 2024, wahitimu wa Shule ya Sekondari Charlotte iliyopo Tungi Mkwajuni, Manispaa ya Morogoro, wametakiwa kumtanguliza Mungu, kuwa na nidhamu, bidii, uadilifu na uaminifu, ili kupata mafanikio zaidi kielimu, kimaisha na kiimani. Wito huo umeetolewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki…

Read More

RAIS SAMIA ATETA NA ZUHURA YUNUS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, jijini Mwanza leo Oktoba 14,2024 kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru. Katikati ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu )Kazi,Vijana, Ajira…

Read More

Tanzania yashinda tuzo ya Kimataifa ya IEEE CTU

Na mwandishi wetu, Dubai MRADI wa Tanzania Digital Inclusion Project unatekelezwa na shirika la Internet Society Tanzania(ISOC-TZ) katika umetwaa tuzo ya uwezo mifumo ya majiji janjaduniani (Smart city). Mradi huo kwa Tanzania unatekelezwa Jijini Dar es salaam, Mwanza na Kiliamnjaro. Tuzo hizo zilizofanyika Dubai, Rais wa Shirika la ISOC-TZ, Nazar Kirama alipokea tuzo hiyo alisema…

Read More

MBUNGE MTATURU AMSHUKURU RAIS SAMIA.

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,akizungumza katika mahafali ya Kidato cha Nne shule ta sekondari Mwau iliyopo Kata ya Manginyi MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameshiriki mahafali ya Kidato cha Nne shule ta sekondari Mwau iliyopo Kata ya Manginyi na kutoa msaada wa mashine ya kudurufu na Sh.Milioni tatu ya kukarabati ofisi ya Walimu…

Read More

MAFUNZO YA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OWMS

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi.Alice Mtulo, akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, wakati akifunga Mafunzo kuhusu Udhibiti Msongo wa Mawazo, Maandalizi ya Kustaafu katika utumishi na Uongozi na Dhana ya Ujumuishi wa Anuai za Kijamii yaliyofanyika mkoani Dodoma. Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo…

Read More

Kauli ya Diwani wa Mikocheni Eng.Nzenzely baada ya kujiandikisha daftari la wapiga kura “Ni haki yako”

Diwani wa Kata ya Mikocheni Eng. Nzenzely Hussein Ajiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura, Atoa Wito kwa Wananchi Kujitokeza kwa Wingi Dar es Salaam, Oktoba 14, 2024 – Diwani wa Kata ya Mikocheni, Eng. Nzenzely Hussein, amejitokeza rasmi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura wa Serikali za Mitaa, huku akiwahimiza wananchi wa Mikocheni na Tanzania…

Read More