
Maonyesho ya wiki ya chakula duniani yazinduliwa mkoani Kagera
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji yashiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanafanyika Mkoani Kagera. Akifungua mafunzo hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya Muleba Dkt Abel Nyamahanga amesema Mkoa wa Kagera unakabiliwa na changamoto ya udumavu na kuwataka wadau wa lishe wakiwemo washiriki wa maonyesho hayo kwa ujumla…