RAIS SAMIA AKISHIRIKI MISA YA KUMBUKUMBU YA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU J. K. NYERERE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na waumini wa Kanisa Katoliki kwenye Ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri- Nyakahoja Jijini Mwanza tarehe 14 Oktoba, 2024.            

Read More

Serikali yazindua mwongozo wa kusimamia utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI Adolf Ndunguru amesema kuwa kuchelewa kukamilika Kwa miradi ya kimkakati Kwa wakati usababisha Serikali isipate thamani halisi ya rasilimali za UMMA nakuzolotesha juhudi za kupunguza umasikini Nchini Ndunguru ameyasema hayo kwenye uzinduzi wa mwongozo wa uwanzishwaji na usimamizi wa kampuni Mahsusi za uendeshaji wa miradi ya vitega uchumi…

Read More

Kujenga Usalama wa Maji kwa Kizazi Kijacho katika Maeneo ya Pasifiki – Masuala ya Ulimwenguni

Mradi wa PROTÉGÉ wa Jumuiya ya Pasifiki unajitahidi kuendeleza maendeleo yanayostahimili hali ya hewa. Mkopo: SPC na Catherine Wilson (Sydney) Jumatatu, Oktoba 14, 2024 Inter Press Service SYDNEY, Oktoba 14 (IPS) – Eneo la Visiwa vya Pasifiki ni mstari wa mbele wa hasira kwamba mabadiliko ya hali ya hewa yanashambulia mazingira na maisha ya binadamu…

Read More

MTATURU AMWAGA NEEMA SHULENI MWAU.

  MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,akimkabidhi cheti mwanafunzi wakati wa mahafali ya Kidato cha Nne shule ta sekondari Mwau iliyopo Kata ya Manginyi ……… MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameshiriki mahafali ya Kidato cha Nne shule ta sekondari Mwau iliyopo Kata ya Manginyi na kutoa msaada wa mashine ya kudurufu na Sh.Milioni tatu ya…

Read More