
RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA SENGEREMA NA MISUNGWI MKOANI MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mama mzazi wa mama Janeth Magufuli (Juliana Stephano Kidaso) mara baada ya kuwasili Kigongo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza tarehe 13 Oktoba, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi…