Serikali ya Zanzibar kuendelea kuunga mkono kazi za Mradi wa USAID Kizazi Hodari Kanda ya Kusini

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar leo imeahidi kuendelea kuunga mkono Mradi wa USAID Kizazi Hodari unaolenga kusaidia katika kuboresha afya, ustawi na usalama wa watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu (OVC) na vijana walio katika jamii zinazokabiliwa na tatizo la VVU Zanzibar. Kauli  hiyo imetolewa leo Zanziar na Waziri wa Zanzibar Ofisi ya Rais,…

Read More

Marais wataka tafakuri fursa za miaka 25 ya EAC

Dar es Salaam. Wakati Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikitimiza miaka 25 tangu iliporejeshwa mwaka 1999, baadhi ya wakuu wa nchi wanachama wamependekeza tafakari pana ya kubaini kama nchi wanachama zinafaidika vya kutosha na fursa zilizopo ndani ya jumuiya hiyo. Hayo yameelezwa leo, Novemba 30, 2024, katika mkutano wa 24 wa wakuu wa nchi wanachama…

Read More

WATENDAJI WA UCHAGUZI MIKOA YA ARUSHA, KILIMANJARO NA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA UBORESHAJI

Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza leo Novemba 30 hadi Disemba 1, 2024 Mkoani Kilimanjaro….

Read More

Mwenyekiti wa Mtaa wa Chaumma apongezwa kwa ‘ubwabwa’

Mbeya. Shughuli katika Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya zimesimama kwa muda kupisha sherehe ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Soko, Brayani Mwakalukwa, aliyeshinda katika uchaguzi wa serikali za mitaa kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Katika sherehe hiyo, mamia ya wananchi wakiwamo vyama vya siasa jijini humo kama vile CCM, Chadema na CUF waliungana kwa…

Read More

Machumu awafunda wahitimu wa uandishi wa habari

Morogoro. Mkurugenzi Mtendaji na mwanzilishi wa BSM Washauri Tanzania Limited, Bakari Machumu amewapa mbinu tano wahitimu wa kozi ya uandishi wa habari zitakazowasaidia kupata mafanikio katika taaluma hiyo hasa katika kipindi hiki cha teknolojia. Machumu ambaye amewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited (MCL),  ametoa mbinu hizo akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya 28…

Read More

WAZIRI BASHUNGWA AKABIDHI KAZI YA UJENZI WA MADARAJA USHETU

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa akizungumza wakati wa ziara ya kukagua hatua maendeleo ujenzi wa Madaraja Halmashauri ya Ushetu Mkoa wa Shinyanga. Na Mwandishi wetu – Malunde 1 blog Katika hatua kubwa ya kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja mkoani Shinyanga, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Ushetu Wilayani…

Read More

Kikwete aeleza ukaribu wake na familia ya Ndugulile

Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk Faustine Ndugulile, alikuwa rafiki yake huku akieleza namna alivyojitosa kusaka kura ili aishike nafasi hiyo mpya. Kikwete amesema hayo baada ya kufika nyumbani kwa Dk Ndugulile yanakofanyika maombolezo akiwa…

Read More