
Bosi wa Dar24 apatikana Kigamboni akiwa hai, Polisi wafafanua
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Dar24, Maclean Mwaijonga amepatikana akiwa hai eneo la Buyuni, Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kudaiwa kutoweka tangu Oktoba 31, 2024. Taarifa ya kupatikana kwake imethibitishwa na Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 2, 2024 ambalo pia lilikuwa likimtafuta kwa kushirikiana…