ZRA yakusanya asilimia 102 ya mapato

Pemba. Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), imesema ongezeko la ukusanyaji wa mapato umekuwa ukiimarika sababu kubwa ikitajwa matumizi ya mifumo na kutatua changamoto za walipa kodi. Akitoa taarifa ya makusanyo kwa waandishi wa habari leo Jumapili Novemba 3, 2024, Kaimu Kamishna Mkuu wa ZRA, Said Ali Mohamed amesema ongezeko hilo pia limetokana na kuimarishwa kwa…

Read More

Sababu Fountain v Alliance kusogezwa mbele

MCHEZO kati ya Fountain Gate Princess na Alliance Girls uliopangwa kuchezwa kesho Novemba 5 kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma umesogezwa hadi keshokutwa Novemba 6 kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara. Inaelezwa sababu ya mechi hiyo kusogezwa mbele ni kutokana na Fountain Gate kuomba mechi ichezwe Babati hivyo imesogezwa ili kupata muda mzuri wa kujiandaa….

Read More

Tawa yamuua kiboko Magu, wananchi wagawiwa nyama

Magu. Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) imemuua kiboko ambaye amekuwa msumbufu na kuhatarisha usalama wa wananchi wa Kijiji cha Ilungu, Kata ya Nyigogo, wilayani Magu Mkoa wa Mwanza. Wananchi wa maeneo hayo kwa kipindi kirefu wamekuwa katika hali ya wasiwasi kutokana na kuwapo kwa mnyama huyo aliyeuawa leo Jumapili, Novemba 3, 2024 na…

Read More

Rais wa Caf ashtakiwa Dar, kesi kunguruma kesho

KESI inayomhusisha bilionea wa Afrika Kusini na rais wa CAF, Patrice Motsepe na kampuni zake inatarajiwa kusikilizwa kesho, Jumatatu katika Divisheni ya Kibiashara ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Tanzania, Pula Group, imefungua kesi dhidi ya Motsepe na kampuni zake zikiwemo African Rainbow Minerals, African Rainbow Capital na ARCH Emerging…

Read More

Utitiri wa bodaboda, bajaji vurugu tupu

Dar es Salaam. Licha ya usafiri wa pikipiki na bajaji kuonekana mkombozi kwa abiria, vyombo hivyo vimelalamikiwa kwa uvunjifu wa sheria za barabarani na kuwa kero kwa watumiaji wengine. Malalamiko hayo ni pamoja na madereva wa vyombo hivyo kutojali watumiaji wengine huku wakijiona kuwa na haraka kiasi cha kutozingatia sheria za usalama barabarani na hata…

Read More