Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Day: November 4, 2024

  • Home
  • 2024
  • November
  • 4
Kimataifa

Kuimarisha Utayarishaji wa Tsunami katika Hali ya Hewa Inabadilika – Masuala ya Ulimwenguni

November 4, 2024 Admin

Ishara ya onyo la tsunami katika ufuo wa Pantai Bercak huko Pacitan, Java Mashariki, Indonesia. Rangi mahiri za ishara hiyo huonekana wazi, na kuhakikisha inavutia

Read More
Habari

Wizara ya Nishati yakamilisha maandalizi kuelekea Mkutano wa Wiki ya Nishati Afrika

November 4, 2024 Admin

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya mafuta na gesi, Dkt. James Mataragio ameongoza kikao kazi cha mwisho cha maandalizi ya ushiriki wa

Read More
Habari

Tanzania Olympic Committee (TOC) General Election Set for December 14, 2024/Uchaguzi Mkuu wa Kamati ya Olympic Tanzania (TOC) Kufanyika Desemba 14, 2024

November 4, 2024 Admin

The Election Commission of the Tanzania Olympic Committee (TOC) has officially announced that its general election will take place on December 14, 2024.  With a

Read More
Habari

Wabunge wataka Serikali iondoe umaskini wa mtu mmojammoja

November 4, 2024 Admin

Dodoma. Wabunge wameitaka Serikali kujikita katika kuondoa umaskini wa mtu mmojammoja. Mbali na hao, Mbunge wa Kuteuliwa (CCM), Shamsi Vuai Nahodha akisema na kutoa mifano

Read More
Habari

MKUTANO WA 34 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI LINALOSHUGHULIKIA MASUALA YA EAC NA MIPANGO WAANZA ARUSHA

November 4, 2024 Admin

Mkurugenzi wa Sera na Mipango katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Justin Kisoka akichangia kwenye Mkutano 34 wa Baraza

Read More
Magazeti

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 5,2024

November 4, 2024 Admin

Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 5,2024 About the author

Read More
Habari

Azania yawaita Watanzania kuchangamkia hati fungani

November 4, 2024 Admin

Dar es Salaam. Kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake, Benki ya Azania imewaita Watanzania kuchangamkia fursa ya ununuzi wa hatifungani (bondi) zake, ambapo kiasi

Read More
Habari

MAREMA MPYA KUPAMBANA NA MITAJI – ELISHA MNYAWI

November 4, 2024 Admin

  Na Mwandishi wetu, Mirerani MWENYEKITI mpya wa wachimbaji wa madini Mkoani Manyara (MAREMA) Elisha Nelson Mnyawi, amesema wachimbaji wanakabiliwa na ukosefu wa mitaji ya

Read More
Habari

KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CRC

November 4, 2024 Admin

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amekutana na Mheshimiwa Youssoufa Mohamed Ali,Waziri wa Ulinzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama

Read More
Habari

ZAIDI YA WANANCHI 32,000 WA VIJIJI VYA WILAYA ZA MOROGORO NA MVOMERO KUANZA KUPATA MAWASILIANO

November 4, 2024 Admin

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi MaryPrisca Mahundi (Mb), amesema Serikali inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuboresha mawasiliano

Read More

Posts pagination

1 2 … 9 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.